zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,039
- 3,613
Njoo pm nikutumie na namba yakePicha ya huyo dada tafadhali.
Mimi natoa bila marejesho wala riba.
hahahaPicha ya huyo dada tafadhali.
Mimi natoa bila marejesho wala riba.
Yupo tayari kwa ilo.mnaelewana tu.ata ukiitaji upajue kwako unapajua.sio mtu wa kufunga Duka akimbie kwa ajili laki saba.maana Duka lenyewe ndo kwanza kaingia na kalipa kodi milioni tank na kujaza vituAkifunga duka na kuondoka na duka lake usiku itakuwaje?
Mimi natoa mkopo endapo atakubali niwe naye close kwa hizo wiki tatu,akisha rudusha pesa zangu ndio kila mtu atakuwa mbali na mwenzie.
Hakuna watu nawaogopa kuwaazimisha/kukopesha pesa kama wadada.
Mungu anisamehe kwa mawazo yangu!!
Poa Mkuu nakuja pmkama bado haja pata njoo PM mkuu
Sidhani kama atakua tayar kuondoa utu wake kwa ajili ya shida.ila nisimsemee.njoo ijie pm namba yake .maana Mimi sio bwana ake wala mwenzi wakeYupo tayari kushea nami kitanda? Maana hiyo ndio maana ya kuwa close!! Kama yupo tayari leta namba na picha take PM.
Mkuu wewe ni nani yake?
Unamaanisha nini?mganga kutoka ukerewe[emoji56][emoji56]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unamaanisha nini?
Sio lazima kuchangia kila uzi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wala sio makosa yako ni usawa tu ndio unapelekea watu kuwa na mawazo kama hayo.Akifunga duka na kuondoka na duka lake usiku itakuwaje?
Mimi natoa mkopo endapo atakubali niwe naye close kwa hizo wiki tatu,akisha rudusha pesa zangu ndio kila mtu atakuwa mbali na mwenzie.
Hakuna watu nawaogopa kuwaazimisha/kukopesha pesa kama wadada.
Mungu anisamehe kwa mawazo yangu!!
Aisee wewe ndo unajua ugumu wa pesa. WallahYupo tayari kushea nami kitanda? Hiyo ndio maana ya kuwa close!! Kama yupo tayari leta namba na picha yake PM.
Mkuu wewe ni nani yake?
Ni mtizamo wake tu huenda ishamtokea kulizwa ,kwa nikueshimu tu mtizamo wakeAisee wewe ndo unajua ugumu wa pesa. Wallah
KweliWala sio makosa yako ni usawa tu ndio unapelekea watu kuwa na mawazo kama hayo.