kaka huyu ni afisa wa serikali jaman lazma atakua ana njia zingine za uchumi so msimkadirie tu kuwa anaishi kwa salary mwingine ana biashara zake. Idea yake ya kununua gari bado ni nzuru japo hajasema anataka kununua gari ya aina gani pengine pickup ya biashara je