Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,029 Jan 21, 2016 #1 Habari, Naomba kujua yafuatayo.. 1. Kwa waliomaliza kulipa mikopo ya elimu ya juu, kuna document yoyote inayotolewa kwa aliyemaliza kuonyesha kwamba amemaliza drni..?? 2. Kama ipo inapatikanaje..??? Naomba kufahamishwa
Habari, Naomba kujua yafuatayo.. 1. Kwa waliomaliza kulipa mikopo ya elimu ya juu, kuna document yoyote inayotolewa kwa aliyemaliza kuonyesha kwamba amemaliza drni..?? 2. Kama ipo inapatikanaje..??? Naomba kufahamishwa