Mkopo toka loan board

Elijah O

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
1,127
Reaction score
931
Wasalam,
Ninamdogo wangu amechaguliwa Vyuo viwili cha kwanza alichaguliwa St Augustine Mwanza na akawaame confirm mkopo wake St Augustine baadae akachaguliwa Udom lakini yeye anapenda kusoma Udom je niutaratibu gani ambao humika kuamisha mkopo kutoka St Augustine kwenda Udom
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…