DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
mi ndio kwanza nimeanza mkubwa..wamenipa 40...nasubiri nirejeshe nipaeTala Ni App Bora Sana Nimekopa Kwa Mala Ya Kwanza Wakanipa Elf 50 Liba Yao Ni Shiling Elf 7 Jumla Inakua Elf 57 Nimemaliza Kulipa Wananikopesha Elfu 50 Tena Me Nataka Waniongeze ,,, Vp We Mwenzangu Mkopo Wa Pili Wamekupa Kiasi Gan
..mbona kama mnajiongelesha wenyewe;mi ndio kwanza nimeanza mkubwa..wamenipa 40...nasubiri nirejeshe nipae
Tala Ni App Bora Sana Nimekopa Kwa Mala Ya Kwanza Wakanipa Elf 50 Liba Yao Ni Shiling Elf 7 Jumla Inakua Elf 57 Nimemaliza Kulipa Wananikopesha Elfu 50 Tena Me Nataka Waniongeze ,,, Vp We Mwenzangu Mkopo Wa Pili Wamekupa Kiasi Gan
Mimi pia nilikopa kama Nara NNE kwa sasa ila nipo kwenye 40,000.wanachozingatia kwenye maswali uliutumiaje mkopo uliopita na taarifa zako za Mara ya kwanza Kabisa za mkopo wa kwanza,ila Daa wanasaidia ukipigikaTala Ni App Bora Sana Nimekopa Kwa Mala Ya Kwanza Wakanipa Elf 50 Liba Yao Ni Shiling Elf 7 Jumla Inakua Elf 57 Nimemaliza Kulipa Wananikopesha Elfu 50 Tena Me Nataka Waniongeze ,,, Vp We Mwenzangu Mkopo Wa Pili Wamekupa Kiasi Gan
BRANCH APPHABARI WAKUU,
Nimefurahi sana baada ya kupata taarifa kuwepo kwa apps za mikopo rahisi huko playstore, we ni kupakua app yako na kujaza fomu kisha unapakua kiasi kulingana vigezo vyako..
Mimi ni mnufaika wa mkopo huo baada ya kupata taarifa kutoka kwa jamaa yangu.
Moja kati ya app iliyoninufaisha ni TALA ambayo haina mbwembwe nyingi
MSAADA KAMA KUNA MWENYE KUJUA APPS NYINGINE ZA MIKOPO
Tala Ni App Bora Sana Nimekopa Kwa Mala Ya Kwanza Wakanipa Elf 50 Liba Yao Ni Shiling Elf 7 Jumla Inakua Elf 57 Nimemaliza Kulipa Wananikopesha Elfu 50 Tena Me Nataka Waniongeze ,,, Vp We Mwenzangu Mkopo Wa Pili Wamekupa Kiasi Gan
tuma link yao hapa tuangalie mkuu maana mnaongea hamjatutumiaMimi pia nilikopa kama Nara NNE kwa sasa ila nipo kwenye 40,000.wanachozingatia kwenye maswali uliutumiaje mkopo uliopita na taarifa zako za Mara ya kwanza Kabisa za mkopo wa kwanza,ila Daa wanasaidia ukipigika
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani ila ni "riba" sio liba.Kuna Mtu Anauliza Liba Ni Kwa Siku Ngap Ila Ukipema Mkopo Unachakua Kuludisha Awam 3 Au 4 Ukichagua Awam 4 Liba Yake Ni Elfu Kumi Na Awam 3 Liba Yake Ni Elf 7 Me Nilichagua Awam 3 Naludisha Kila Baada Ya Siku 7 ,,,hyo Naongelea Mkopo Wa Elf 50 ,,,