Bank nyingi zinatoa mkopo ila asset lazima na ndio itakulinda ili kupata kiasi unachotaka, bank nyingi mteja anayeanza humpa mil 2, ila jaribu ACB, DCB, CRDB ndio bank ninazoona hazina masharti mengi na CRDB riba yao ni nafuu kwa sasa
Equty niwazuri ila uwe umefungua account kwao izunguke kwa miezi 3 ila niwazuri na hana masharti magumu, japo hupenda zaidi mteja kuanzia kwenye mkopo wa kikundi cha watu 5 au 6, kama una Tin na leseni nenda ofisi zao za posta au mwenge watakusaidia