Mkopo kwa wanaotaka kusoma Diploma

Mkopo kwa wanaotaka kusoma Diploma

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
992
Reaction score
968
Kama kichwa cha habari hapo juu,

Hivi inawezekana anayetaka kusoma DIPLOMA akaomba Mkopo au ni kwajili ya wanaosoma degree tu?

Naomba kuwasilisha
 
Haiwezekani ongeza bidii utoboe ukasome bachelor degree Mkopo unaanza kutolewa kuanzia hapo
 
Back
Top Bottom