Mkopo kwa wanafunzi wenye diploma

Mkopo kwa wanafunzi wenye diploma

deo_gratias

Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
13
Reaction score
1
Habari wana JF.
Baada ya kusubiri sana nimejikuta nipo na maswali mengi kuliko majibu juu ya swala la mikopo elimu ya juu. Bodi wametoa mkopo kwa almost form 6 wote ambao wamechaguliwa na wamesha report kwenye vyuo mbalimbali. Lakini kwa waombaji mkopo ambao tuna diploma, bado tupo pending.

Nlipojaribu kufuatilia hili swala, nikashangazwa na taarifa ya mkurugenzi wa bodi ya mikopo aliposema kwamba. Bajet waliyoweka no kukopesha wanafunzi elfu tisini na kitu wale wanaoendelea na masomo na wanafunzi kama elfu 25 ivi wanaoanza masomo. Na katika sababu alizosema za wengine kukosa mkopo ni walioomba kwa equivalent qualifications (diploma).

Sasa nashindwa kuelewa, kama mwaka huu wa masomo hawakua na mpango wa kukopesha wanafunzi wenye diploma, kwanini hawakusema mapema? Watu tumetumia zaid ya laki moja kukamilisha zoezi la kuomba mkopo! Kwakweli inaniuma sana. Kwanini bodi wanafanya hivi lakini.

Tena ukiangalia the walivyosoma utashangaa, mtu unakuta amesoma veta, akaja akapata FTC kutoka chuo flan, akapata higher diploma, then bachelor, masters na hatimaye PhD. Na naamini either alisoma kwa mkopo au wadhamini. Leo hii sisi wenye diploma wanataka tuishie na diploma?
This is not fair kabisa
 
Sio kweli form six waliopata hawajazid 50% weng tumekosa na diploma baadh washapew kuna jamaa zang wametok dip last week wamewekea lkn sio weng
 
Sio kweli form six waliopata hawajazid 50% weng tumekosa na diploma baadh washapew kuna jamaa zang wametok dip last week wamewekea lkn sio weng
Still bado tunarudi palepale kwenye swali la msingi, kwanini wanatunyima mkopo? Najua kuna ishu ya vigezo but pale unapoona mwenzako ambaye vigezo umemzidi na amepewa mkopo mtu unashindwa kupata jibu sahihi!
 

Attachments

Kuna diploma anao wazaz wote alisom NIT dip na kapewa mkopo ila wapo wengne yatim wamekosa nahc watakua walikua wanafany ana anadoo
 
Back
Top Bottom