Y Young Kibaka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 319 Reaction score 46 Oct 12, 2015 #41 kedrick said: Ngojea na 4th round watu washacheki majina Click to expand... naona ndo mara zako za mwanzo mwanzo kutumia google
kedrick said: Ngojea na 4th round watu washacheki majina Click to expand... naona ndo mara zako za mwanzo mwanzo kutumia google
J john wa seba Member Joined Oct 8, 2015 Posts 57 Reaction score 23 Oct 12, 2015 #42 Mkwere Sumbawanga said: time napost yalikuwa hayajatoka from time nimepost kuwa bado anything could happen kama yametoka poa shukran kwa taarifa Click to expand... hayo majina mbona mi cyaoni yapo sehem gan
Mkwere Sumbawanga said: time napost yalikuwa hayajatoka from time nimepost kuwa bado anything could happen kama yametoka poa shukran kwa taarifa Click to expand... hayo majina mbona mi cyaoni yapo sehem gan
J john wa seba Member Joined Oct 8, 2015 Posts 57 Reaction score 23 Oct 12, 2015 #43 niingiee wap mbonaa cjaona jina lolote
Mr. mfupa Member Joined Sep 29, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Oct 12, 2015 #44 Mustapha Ryder said: haya mshaambiwa mchek xaxa mtupunguzie kelele Click to expand... mtu kuuliza c kua anajpendekeza.. kuen na ustaarabu wakujbu.. ndiomaana mtandao huu ukawepo
Mustapha Ryder said: haya mshaambiwa mchek xaxa mtupunguzie kelele Click to expand... mtu kuuliza c kua anajpendekeza.. kuen na ustaarabu wakujbu.. ndiomaana mtandao huu ukawepo
ngafu.fijo JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 1,240 Reaction score 1,102 Oct 12, 2015 #45 john wa seba said: niingiee wap mbonaa cjaona jina lolote Click to expand... Vilaza km ww wanakeeeeera......mkopo baaaaadoooo...sijui umeeelewa.
john wa seba said: niingiee wap mbonaa cjaona jina lolote Click to expand... Vilaza km ww wanakeeeeera......mkopo baaaaadoooo...sijui umeeelewa.
fagix JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 739 Reaction score 558 Oct 12, 2015 #46 Maji bado kuweni wapole tu
J john wa seba Member Joined Oct 8, 2015 Posts 57 Reaction score 23 Oct 12, 2015 #47 ngafu fijo mi ni kilaza nilieelewa sawa bhna much knower
Y Yusuph seleman New Member Joined Oct 7, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Oct 12, 2015 #48 kedrick said: Acha kuwadaganya madogo majina yametoka Click to expand... Hata hicho ulicho kiaattach hapo ukifungua hakifunguki sasa majina umeyaona wap?..
kedrick said: Acha kuwadaganya madogo majina yametoka Click to expand... Hata hicho ulicho kiaattach hapo ukifungua hakifunguki sasa majina umeyaona wap?..
prototypeman JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 288 Reaction score 108 Oct 12, 2015 #49 john wa seba said: ngafu fijo mi ni kilaza nilieelewa sawa bhna much knower Click to expand... JJamni majina yakitoka yatakuwa wazi hata humu mtawekewa link ss mi sioni haja ya kupandishana stress humui
john wa seba said: ngafu fijo mi ni kilaza nilieelewa sawa bhna much knower Click to expand... JJamni majina yakitoka yatakuwa wazi hata humu mtawekewa link ss mi sioni haja ya kupandishana stress humui
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,910 Reaction score 18,558 Oct 12, 2015 #50 Rosati said: Duh...yaan hapa mi nmekomaa usiku mzima,kwenye bodi ya mikopo a/c yangu ya bodi na hamna jipya...wale wenye mchongo waseme, Click to expand... Ninasikitika kuwa kuna watu humu wanatoa taarifa za uongo bila kujali kuwa kwa kufanya hivyo wanasababisha usumbufu Mkubwa kwa wengine. Heslb bado kutoa majina. Wakitoa lazima watoe na taarifa hiyo kwenye tovuti yao!
Rosati said: Duh...yaan hapa mi nmekomaa usiku mzima,kwenye bodi ya mikopo a/c yangu ya bodi na hamna jipya...wale wenye mchongo waseme, Click to expand... Ninasikitika kuwa kuna watu humu wanatoa taarifa za uongo bila kujali kuwa kwa kufanya hivyo wanasababisha usumbufu Mkubwa kwa wengine. Heslb bado kutoa majina. Wakitoa lazima watoe na taarifa hiyo kwenye tovuti yao!