Ingia http://www.heslb.go.tzfungua sehemu imeandikwa OLAS(ONLINE LOAN APPLICATION SYSTEM)
then nenda sehemu imeandikwa LOG IN ,click then ingiza index number ya O LEVEL na mwaka wa kumaliza(mfano S0656.0009.2011) na password yako..then click log in.
Kama kulog in tu ni tatizo kwako basi ni hakika elimu yetu haitusaidiithnx mkuu
thnx mkuu
add their stupid,foolishSasa wewe mwanachuo mtarajiwa unaweza kuingia Jamii Forum kuulizia tetesi lakini unashindwa kuingia google kuitafuta website ya Loan Board kuhakikisha
Pathetic
najua anafanya makusudi 2 ,na kuna wengne eti hadi passwrd zao hawakumbuki,na hawajui 2 km kuna suala la kulog in HESLB.Kama kulog in tu ni tatizo kwako basi ni hakika elimu yetu haitusaidii
msipende kuishi kwa whatsap fuatilia bodi ya mikopo website pale utapata taarifa za kweli
kuhusu mikopo bado haijatoka msihangaishwe na taarifa za uongo za whatsap
Mimi bado nazidi kusisitiza kwamba hizi habari si za kweli maana udahili haujaisha mbona? au kutakuwa na 1st,2nd na 3rd round ya majina ya wataopata mkopo? kama ni hvyo huenda ikawa kweli maana sisi ni kama kichwa cha mwendawazimu ,miaka ye2 always inakuwa ya majaribio tena UNIQUE.
hakuna lolote bhanaaa
ila kuna text inasambaa kwa mawatsap
Acha kuwadaganya madogo majina yametoka
Acha kuwadaganya madogo majina yametoka
Wajinga sana
Ngojen mje mliwe vichwa kenge nyinyi
Mimi bado nazidi kusisitiza kwamba hizi habari si za kweli maana udahili haujaisha mbona? au kutakuwa na 1st,2nd na 3rd round ya majina ya wataopata mkopo? kama ni hvyo huenda ikawa kweli maana sisi ni kama kichwa cha mwendawazimu ,miaka ye2 always inakuwa ya majaribio tena UNIQUE.
je wajua chochote kuhusu mkopo mwaka Huu?
Unaeza sema ni kweli when u jus seen this, ila hakuna kitu apo.. chenga! When u try that "Click here" shit happens, sijui not found, sijui error! Na kama ni kweli yametoa, I wonder why they didn't FIRE their IT guy hadi sasa hivi!