Mimi bado nazidi kusisitiza kwamba hizi habari si za kweli maana udahili haujaisha mbona? au kutakuwa na 1st,2nd na 3rd round ya majina ya wataopata mkopo? kama ni hvyo huenda ikawa kweli maana sisi ni kama kichwa cha mwendawazimu ,miaka ye2 always inakuwa ya majaribio tena UNIQUE.