Ndeteiyo Member Joined Sep 13, 2016 Posts 45 Reaction score 8 Oct 18, 2016 #1 Ivi kuna board yoyote inayotoa mkopo kwa wanachuo wanaosomea diploma kwa mwaka wa masomo 2016/2017
S sime Senior Member Joined Jul 14, 2016 Posts 146 Reaction score 86 Oct 18, 2016 #3 Ndeteiyo said: Ivi kuna board yoyote inayotoa mkopo kwa wanachuo wanaosomea diploma kwa mwaka wa masomo 2016/2017 Click to expand... Maranyingi ni sponsors ambao wanakusomesha bila deni lolote baada ya kumaliza, sana sana kwa wasichana wanaosoma programmes za science.
Ndeteiyo said: Ivi kuna board yoyote inayotoa mkopo kwa wanachuo wanaosomea diploma kwa mwaka wa masomo 2016/2017 Click to expand... Maranyingi ni sponsors ambao wanakusomesha bila deni lolote baada ya kumaliza, sana sana kwa wasichana wanaosoma programmes za science.
F fatma kimambo Member Joined Sep 2, 2016 Posts 42 Reaction score 16 Oct 18, 2016 #4 sime said: Maranyingi ni sponsors ambao wanakusomesha bila deni lolote baada ya kumaliza, sana sana kwa wasichana wanaosoma programmes za science. Click to expand... Nitawapataje?
sime said: Maranyingi ni sponsors ambao wanakusomesha bila deni lolote baada ya kumaliza, sana sana kwa wasichana wanaosoma programmes za science. Click to expand... Nitawapataje?
L Lady Janet Senior Member Joined Oct 9, 2016 Posts 167 Reaction score 161 Oct 20, 2016 #5 Kwani mkopo ni sh.ngapi wadau?
V2d JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 204 Reaction score 31 Oct 20, 2016 #6 Hiyo degree tu ni shida
vicent tz Member Joined Sep 27, 2016 Posts 27 Reaction score 35 Oct 20, 2016 #7 mh we ndo usahau kidogo
SODOKA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2012 Posts 1,656 Reaction score 724 Oct 20, 2016 #8 Njoo tulime matikitkimj