Mkopo kutokatwa benki madhara yapi nitayapata?

nyamva

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
249
Reaction score
163
Habarini za muda wana jamvi? Kama kichwa cha bandiko kinavojieleza Kwa ufupi mm ni mtumishi wa umma ambaye nilichukua mkopo benki x .lakini tangu nimerenew mkataba ni mwaka sasa makato mapya hayajaanza.

Kwa wale wenye uelewa na mambo haya je ni madhara yapi nitayapata Kwa kutokukatwa makato haya mapya?

Kwa kujazia Uzi nilijaribu kuomba mkopo mpya benki nyingine wakagoma kwamba hati ya mshahara hairuhusu wakati kwenye 1/3 ya mshahara wangu kuna 45 inabaki!

Karibuni wajuzi wa mambo haya mnisaidie.

Ndimi mnusurika wa uhakiki!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri jaribu kufuatilia taarifa za makato na maendeleo ya akaunti yako..usije kujuta hapo baadae
 
Mkuu jisalimishe bank uwa aisaau na liba itaongezeka

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…