Mkopo elimu ya juu

KUKU_UFUGAJI

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
951
Reaction score
1,877
Hivi ni kweli kwa wale wanaodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu, hawawezi kwenda kusoma nje ya nchi mfano kuchukua masters mpaka wamalize kurudisha mkopo wao wa elimu ya juu au ?
 
Siyo kweli vinginevyo iwe kwa walimu lakin huku kwingine watu wanakula buku tu hapa Shengeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…