MKOPO CHUO KIKUU

Dr.philosophy

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
122
Reaction score
27
wadau naomba kuuliza kwa anaejua .kna dogo aliungq vyeti viwil vya form four akafqnya mtihan wa form six mwaka huu..asa anatka kuapply mkopo na kwnye bahasa hizi mpya kuna sehemu unatkiwa uandike mwaka uliofnya mtihan wa form four.asa apo anatakiwa aandke mwaka wa kurisitia au mwaka aliofnya mtihan kwa mara ya kwnza?msaada tafadhali
 
Hata mimi nilikuwa natamani kuuliza kama wewe, ngoja waje wajuzi
 
First sitting certificate namaanisha unatumia cheti cha kwanza na sio second sitting certificate
 
dah nashkur xna ndugu mana dogo alkuw anashindwa kutuma
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…