mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Andika jina la taasisi yenu, usiishie kuandika namba za simu tu.Je umekwama na unataka Msaada wa fedha Kwa haraka?
Je unataka kukopa fedha Kwa riba ndogo?
Je unataka kupanua Biashara yako ndogo na huna mtaji?
Basi sasa umepata jibu la maswali yako hayo.
Tunakopesha kuanzia elfu hamsini Hadi Laki Moja Ndani ya masaa Matatu tuu utakuwa umepata Msaada wako wa fedha.
Dhamana ya mkopo wako ni simu yako ya mkononi.
Utarejesha fedha Ndani ya wiki mbili na utakopeshwa tena
Wasiliana nasi sasa
0715829576
Tupo Dar Kisutu jengo la Red Cross ghorofa ya kumi
Njoo sasa Kwa Msaada wa kifedha
wee acha siasa kwenye fedha, taasisi yanini? We unataka fedha au taasisi?Andika jina la taasisi yenu, usiishie kuandika namba za simu tu.
LabdaYaani unaweka bond simu?
Hapo hakuna siasa, huwezi kukopa ikiwa humjui aliyekukopesha wa huwezi kumkopesha usiyemjua hata bila kumwona. Siasa iko wapi hapo. Maana yangu kuu ilikuwa kama mna app inayopatikana online(kama Branch, L-Pesa nk)wee acha siasa kwenye fedha, taasisi yanini? We unataka fedha au taasisi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mtu akishindwa kulipa simu yake utapewa wewemkuu nataka simu kali hapo ya laki mbili
NjooSasa mimi simu yangu ni ya 1.8. Nataka mkopo wa m1. Inakuaje?
Basi weka namba ya landline mkuuwee acha siasa kwenye fedha, taasisi yanini? We unataka fedha au taasisi?
Kazi ipo kumsaidia mtzKuna baadhi ya watu wapuuzi sana humu jf, haswa katika.ishu za mikopo, anajitokeza mtu anaomba kusaidiwa mkopo na unakuta ana shida.kweli lakini unakuta thread haichangiwi na zaid unakuta kejeli zisizo.na faida na kumkatisha tamaa kwamba hatopata, wengine wanaanza kusalimiana humo.kwenye thread ya mtu, lakini akitokea mtu kama mleta mada wanaotaka kusaidia wenye uhitaji tena hata wale ambao hawana hati za nyumba wala viwanja wanaambiwa matapeli. Muwasaidie nyinyi basi
Nimeku PM mkuu.Kazi ipo kumsaidia mtz