tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Mkuu nchi hii kila kitu kinafanywa kisiasa hakuna muongozo kwa wawekezaji namna ya kuwabana, kisingizio biashara huria, na watoa huduma hii ni wamoja kuliko tunavyofikiria, wapo hapa kutafuta huge profit, kama tume ya mawasiliano haita simamia hili eti tusubiri balancing ya soko kushusha bei tusahau, na hata kama inashuka ni kwa kiasi kidogo mno hata huwezi kui feel,Walisema benefits za huo mkongo/mkonga ni pamoja na kuongezeka sana kwa kasi ya kusafirishia hivyo vitu, eidha kwa ku upload au ku download! Sasa kwanini basi at least tusione mapinduzi makubwa ya hiyo speed?? Actually I dont see the distinct difference ya speed niliyokuwa natumia mimi some 3 years ago na sasa!
Watawala wanaishia kupanda majukwaani kwa mbwembwe eti tumefanikisha kuleta mkonga sana unawafaidisha hao wawekezaji nakubaliana na wewe kwa 100% wanaonufaika ni wawekezaji tu
Watawala wanaishia kupanda majukwaani kwa mbwembwe eti tumefanikisha kuleta mkonga sana unawafaidisha hao wawekezaji nakubaliana na wewe kwa 100% wanaonufaika ni wawekezaji tu