Mkome kupekua simu za ma-boyfriend wenu.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Dada mmoja alikuwa anapekua majina ya mademu walioko katika phonebook ya simu ya boyfriend wake.Mara Agnes milonjo,Aisha kikwapa,Jack domo lepe,Mwajuma ndala ndefu.
Akacheka saana mpaka mchozi ukamtoka,basi akaamua ku-beep namba ya boyfriend wake ili aone yeye kaseviwa vipi.Alipobeep tu,simu ika display......IRENE KINUKA MDOMO!
 
teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh
 
.. na jamaa akija kubib ya kwake anakuta kaseviwa ATM
 
Dada mmoja alikuwa anapekua majina ya mademu walioko katika phonebook ya simu ya boyfriend wake.Mara Agnes milonjo,Aisha kikwapa,Jack domo lepe,Mwajuma ndala ndefu.
Akacheka saana mpaka mchozi ukamtoka,basi akaamua ku-beep namba ya boyfriend wake ili aone yeye kaseviwa vipi.Alipobeep tu,simu ika display......IRENE KINUKA MDOMO!

Pengine alivyoseviwa kuna ukweli ndani yake
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Vingunguti Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom