Mkoa wa Kigoma unaweza kuleta "makandokando" kwa UKAWA kuingia Ikulu

Let them vote for whoever think fit to buy them thirsted ship. But bet should vote for zitto and mama mungirwa will buy them the said thirsted ship. Kama mapinduzi hayataletwa sasa yataletwe na mawe.
 
Mimi nyumbani kanda ya ziwa na mtu yeyote analiamini hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI KILICHOINGIA UBIA NA FISADI LOWASSA NI MPUMBAVU.

bora wew mkuu umejitambua mapema maana kuna minyumbu huku wao wakiambiwa nyekundu , ni kijani wanashangilia kesho wakiambiwa tena ni nyeupe wanashangilia huku watu wakipiga pesa kupitia hiyo migongo yao . kigoma sio watu wakupelekwa pelekwa hivyo hata kama wew ni maskini unapaswa kujitambua
 

Maneno kama haya wacha tupate hasira tu wana kigoma, MAGUFULI FOR CHANGE kwa URAIS na ACT-WAZALENDO ubunge na udiwan.
 
kigoma haina ukwetu kwetu kama unavofikiria,,hivi unaelewa nini wana kigoma kuchagua urais ccm na ubunge upinzani?watu Wa kigoma wana desturi ya kulipa fadhila kwa wema wanaofanyiwa,ndo mana mgombea wa ccm hapa bwn kabourou anapata malipo yake,,

na ukawa pia msubiri kupata malipo yenu kwa wana kigoma hiyo oct25
 
Maneno kama haya wacha tupate hasira tu wana kigoma, MAGUFULI FOR CHANGE kwa URAIS na ACT-WAZALENDO ubunge na udiwan.

Sio mimi ni report ya sensa na makazi ya mwaka 2012 ndio inasema hivyo.
Na jee wakati hali ikiwa hivyo zzk hakuwa mbunge wa Kigoma anayeishi Tabata DSM? Tusipende Ku ukataa ukweli
 
Kumbe Zana Za Kilimo bado anawajambisha?

Kila mwenye akili timamu tayari ameshafanya maamuzi mpaka sasa.

Never hunt what you can't kill.

HARD TARGET!!

Si walishasema kuwa huyu msaliti harudi bungeni??
 
Afya hairuhusu.
 
Mabadiliko hayawezi kuzuiwa na mkoa mmoja tu tena kigoma! Na pia sidhani kama watu wote wa kigoma wana akili ndogo kiasi hicho cha kuiamini tena ccm na ulaghai wake
Kuna laghai anayemfikia huyu anayetuomba kura akamtoe Nguza jela?!
 
Hao ni wepi unaowazungumza tafiti zaidi ya nane zinaonyesha kigoma inapigia ukawa na lowasa kwa madiwani na wabunge hata hyo mwami yupo tabuni
 
??????????!!!!.....
 

Hamna chenu Kigoma hilo futeni wazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…