Wanaosema Arusha nadhani hawajazunguka hilo jiji vizuri. Sehemu kama sombetini, shauri moyo, ungalimited, enaboishu, ngaramtoni, olasiti, kisongo na mwanama kote huko maisha ni rahisi sana ukiwa na buku 2 unakula siku nzima. Vyumba single vipo mpaka vya 15k.