new sheby Member Joined Nov 30, 2017 Posts 43 Reaction score 32 Apr 25, 2018 #1 Msaada wa kiimani baba yangu leo ameniambia toka alivyo acha kwenda kanisani yapata miezi minne sasa anasema mambo yake yamekua mazuri mno sasa nimfanyeje ili amrudie muumba wake
Msaada wa kiimani baba yangu leo ameniambia toka alivyo acha kwenda kanisani yapata miezi minne sasa anasema mambo yake yamekua mazuri mno sasa nimfanyeje ili amrudie muumba wake
G gonz Member Joined Apr 18, 2018 Posts 51 Reaction score 25 Apr 25, 2018 #2 MUOMBEE, MIUNGU INAMSUMBUA NA KUMFARIJI VISIVYO KWA KUMDOKOA KUTOKA KWA MUUMBA WA KWELI NA MUNGU WA KWELI
MUOMBEE, MIUNGU INAMSUMBUA NA KUMFARIJI VISIVYO KWA KUMDOKOA KUTOKA KWA MUUMBA WA KWELI NA MUNGU WA KWELI