Mkiichagua CCM!

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
14,456
12,575
Naona watu wenye shida ndiyo mashabiki wa CCM,shule za kata, walimu,mapolisi ,wagonga kokoto,makonda eti wanarubuniwa na kuishabikia CCM,nitawashangaaa mkiichagua tena,nitaombaa maisha yawe magumu zaidi hata mlo mmoja msiupate ili mnyookeee,maana mtakuwa hamjakoma.Mwalimu anasema eti mabadiliko yanaweza kupatikana ndani ya CCM mimi nakataaaa,ccm hakuna wa kuleta mabadlikoooo.Sasa mimi nakaa pembeni naangalia mjitoe ufahamu muichague ccm tena aisee itabidi tutafute namna nyingine maana tumechokaaa,kipigo mtakachopata mpaka uchaguzi mwingine mtalia na kusaga kucha maana meno mmesaga tayari.ndugu zangu tuwaweke pembeni hawa wakoloni weusi kazi ya kuijenga Tanzania mpya ianze sasa.someni kitabu cha,mwalimu mkuu was watu kaandika Paschal Mayenga.
Hivi ndivyo tulivyotabiri
 
Ukisema watu wengi wenye shida ndio mashabiki wa ccm naamini kwa kiasi fulani ila sio walimu,kati ya watu waliochoka na ccm basi walimu ni namba moja,sijafanya mahojiano na walimu wengi wa msingi ila sekondari hadi wanafunzi wamerithishwa chuki dhidi ya ccm nao wanaichukia hatare na walimu wamewasisitiza wanafunzi kupiga kura ukawa tena wasipuuzie.Sehemu nyingi kati ya watu wenye moto wa kupiga kura bas na walimu na wanafunzi wapo
 
Naona watu wenye shida ndiyo mashabiki wa CCM,shule za kata, walimu,mapolisi ,wagonga kokoto,makonda eti wanarubuniwa na kuishabikia CCM,nitawashangaaa mkiichagua tena,nitaombaa maisha yawe magumu zaidi hata mlo mmoja msiupate ili mnyookeee,maana mtakuwa hamjakoma.Mwalimu anasema eti mabadiliko yanaweza kupatikana ndani ya CCM mimi nakataaaa,ccm hakuna wa kuleta mabadlikoooo.Sasa mimi nakaa pembeni naangalia mjitoe ufahamu muichague ccm tena aisee itabidi tutafute namna nyingine maana tumechokaaa,kipigo mtakachopata mpaka uchaguzi mwingine mtalia na kusaga kucha maana meno mmesaga tayari.ndugu zangu tuwaweke pembeni hawa wakoloni weusi kazi ya kuijenga Tanzania mpya ianze sasa.someni kitabu cha,mwalimu mkuu was watu kaandika Paschal Mayenga.
Hivi ndivyo tulivyotabiri
Wakati uleeeeeeee,,,,,ni ushahidi ushahidi kwamba yametimiaaaaaa
 
Back
Top Bottom