tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 66
tete a tete
male ego....... wanaume wengine huwa hawapendi kuomba msamaha pale wanapokose so wanakuwa na ile attitude ya ... si kajifanya kuninunia ngoja nitamkomesha..... So ukikutana na mwanaume wa hivi si rahisi kutafuta muafaka na mkewe

haki ya nani tena mi kwenye post yako nimeona point moja tu ambayo ni hiyo niliyoikoti:bounce:duu leo niko choka mbaya nasinzia hapa kwa ofisi coz jana nilijitwanga sana Valuuuuu....kusubiri budget ya JK leo...
haki ya nani tena mi kwenye post yako nimeona point moja tu ambayo ni hiyo niliyoikoti:bounce:
HEHEHE!leo tete unamwaga ma-point kwel kwel vipi kikao cha bajeti kimekufeva?We si nakujua mzee wa kujitundika na leo huko uliko loo angalia wasikubebe na winch!! looh all the best...kwenye pombe kuna heshima kubwa sana!HASA UKILEWA...
haki ya nani tena mi kwenye post yako nimeona point moja tu ambayo ni hiyo niliyoikoti:bounce:
umeonaaaa eeehhhh!He he he he he hommie; najua umevutika na line neno valuuuuuuu pale angekuongezea na safari wota
mwanamama akikuletea za ajabu dawa ake we ni kuchelewa kurudi!.......
ukirud saa nne akinuna kesho rudi saa sita akinuna nxt day rudi saa nane akinuna nxt day rudi asubuhi
TARATIIIBU ATAANZA KUWA MDOGO!.....
hehehe!hata sijui NITAANZAJE!.....Kweli wanaume sijui huwa mnajisikiaje kuanza kuomba msamaha kama mmekosea ..
na wengine sisi bila muafaka mambo hayaendi, mana nikiwa ni mie nimecheza rafu huwa mrahic sana kutafuta muafaka kwanini kwake iwe ngumu?... apigie hata exs zake 15 bila muafaka atanisamehe.
Kweli wanaume sijui huwa mnajisikiaje kuanza kuomba msamaha kama mmekosea ..
Sasa tukija kwenye hiki chama cha ndoa nako ni vilevile hamuwezi kukaa kama malaika lazima kunakuwa na ups and downs sasa inakuwaje pale mnapokuwa mmegombana mume na mke siku mbili tatu tena mnanuniana kabisa mwanaume anaanza kumkumbuka X wake wa zamani atajifariji hata kwa kumpigia tuu simu na tena X akiingia lain watapanga hata wakutane mahali for further mazungumzo ilimradi tuu apate faraja? swali linakuja ni kwa nini huyu mume asitafute muafaka wa suluhisho na mkewe...Naomba mawazo yenu
tete atete mwanaume huwa hakoseagi wewe!!kama kosa ni lake! na sisi wanawake tuna roho bana! yaani akose yeye mie nimuombe msamaha kwa kweli kwangu itakuwa ngumu....