Mkifuta posho ya usimamizi wa mitihani, Wanafunzi watawalipa Wasimamizi tena kwa donge nono zaidi.

Amoxlin

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,784
4,097
Siku zote mzaha mzaha hutumbua usaha.

Awamu hii ya tano imekuja na sera ya elimu bure na ili kuitekeleza sera hii imebidi iminye vijiposho vya walimu ktk shuhuli mbalimbali kama usahihishaji wa mitihani ya mock, pre-national nk.

Amini nawaambia posho zote futeni ila mkileta mbwembwe mkafuta posho ya usimamizi wa mitihani tu, ufaulu utaongezeka kwa kasi ya ajabu maana kila mwalimu anaweza kuondoka na zaidi ya 1M baada ya usimamizi wa mitihani kukamilika.

Wanafunzi hawataki mambo ya mchezomchezo ktk suala la mitihani.
 
Back
Top Bottom