Wadau kauli hii ilitolewa na mh Nagu alipokua kwenye kampeni pamoja na baadhi ya mawaziri wengine walioshiriki katika kampeni arumeru east.Mh Mbowe alimuuliza Waziri mkuu na akajibu kua it waz unfortunately ukizingatia ilitolewa jukwaani.Magamba kabla hamjatoa boliti kwenye jicho la kamanda wetu Nassari angalieni la kwenu kwanza.NAWASILISHA!
Mi sio magamba wala magwanda; lakini nataka kujua huyo Nassari alikuwa kwenye kampeni za kitu gani tena mpaka kutamka maneno ya kuitenga kaskazini iwe kama South Sudan?
alikuwa kwenye kampeni ya kuunganisha watengwa wa serikali waliotangaziwa na nagu,wasira na ole medeye.
Hata ccm wana kauli tata nyingi tu. Kuna mwingine alisema wauaji wa maalbino wauawe.Nasari pekee asihukumiwe kwa hili ila wanasiasa wote wawe makini na kauli zao.