Swadakta a!Hilo neno nafikiri ni sahihi. Halafu, hivi mwanaume anaanzishaje gubu eti kisa bibie kaunguza chakula?Halafu mara moja tu kwa bahati mbaya. Hii ni tabia mbaya, uchoyo, umimi, uchawi, kutetemekea misosi na upuuzi. Ndiyo hao hawakosi kwenye kila hitma/arobaini zitokeazo mitaani kwa uroho. Hafuatishi sala/dua muda wote kaweka mikono mfuko WA suruali anahesabu pilipili alizoenda nazo kwenye shughuli.