Bodi ya usimamizi wa ligi tanzania imemuita Mkemi ili ahojiwe na kamati ya nidhamu ya tff hatua hii imekuja baada ya mkemi kutoa kauli kuwa bodi ya ligi wanajihusisha na rushwa na kutishia kwenda mahakamani pia hatua ya Mkemi kuitwa kwenye kamati ya nidhamu imekuja baada ya wadau wa michezo nchini kupaza sauti zao kuwa kwa nini iwe manara tu na siyo mkemi aliyeanza kutoa kashfa kwa tff.
Endapo Mkemi naye atakutwa na kosa atakumbana na adhabu ya kifungo na kufikia watu watatu katika kipindi cha rais Jamali Malinzi kufungiwa.
Endapo Mkemi naye atakutwa na kosa atakumbana na adhabu ya kifungo na kufikia watu watatu katika kipindi cha rais Jamali Malinzi kufungiwa.