Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 Dec 14, 2015 #2 Hanns. said: Naitaji mke.tel.0652463552.sms zitajibiwa miaka 18_35 Click to expand... Fafanua mkuu, mke kutoka nchi gani, dini gani, tabia ipi, kabila gani na rangi gani. NOTE: kua makini na wanawake wanaopatikana kwenye mitandao.
Hanns. said: Naitaji mke.tel.0652463552.sms zitajibiwa miaka 18_35 Click to expand... Fafanua mkuu, mke kutoka nchi gani, dini gani, tabia ipi, kabila gani na rangi gani. NOTE: kua makini na wanawake wanaopatikana kwenye mitandao.
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,268 Dec 14, 2015 #3 Hanns. said: Naitaji mke.tel.0652463552.sms zitajibiwa miaka 18_35 Click to expand... upo Mji gani? atokee wapi Buguruni uwanja wa fisi Sudan Temeke? Bar nedi? au fafanua zaidi na wewe ni nini kimekusibu lwani nina Dada zangu kibao wamelowea hapa ndani wananiuliza hiyo bahati wafafanulie zaidi
Hanns. said: Naitaji mke.tel.0652463552.sms zitajibiwa miaka 18_35 Click to expand... upo Mji gani? atokee wapi Buguruni uwanja wa fisi Sudan Temeke? Bar nedi? au fafanua zaidi na wewe ni nini kimekusibu lwani nina Dada zangu kibao wamelowea hapa ndani wananiuliza hiyo bahati wafafanulie zaidi
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 Dec 14, 2015 #4 Ukwaju said: upo Mji gani? atokee wapi Buguruni uwanja wa fisi Sudan Temeke? Bar nedi? au fafanua zaidi na wewe ni nini kimekusibu lwani nina Dada zangu kibao wamelowea hapa ndani wananiuliza hiyo bahati wafafanulie zaidi Click to expand... Sijakuelewa unamaanisha nini.
Ukwaju said: upo Mji gani? atokee wapi Buguruni uwanja wa fisi Sudan Temeke? Bar nedi? au fafanua zaidi na wewe ni nini kimekusibu lwani nina Dada zangu kibao wamelowea hapa ndani wananiuliza hiyo bahati wafafanulie zaidi Click to expand... Sijakuelewa unamaanisha nini.
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,268 Dec 14, 2015 #5 Shida na raha said: Sijakuelewa unamaanisha nini. Click to expand... utabeba Changu aliyejifunika usichague mwanamke siku ya sherehe wachumba hawapatikani kwenye madangulo ya uawanja wa fisi Manzese tafuta taratibu MUNGU atakupa
Shida na raha said: Sijakuelewa unamaanisha nini. Click to expand... utabeba Changu aliyejifunika usichague mwanamke siku ya sherehe wachumba hawapatikani kwenye madangulo ya uawanja wa fisi Manzese tafuta taratibu MUNGU atakupa