Mke wangu wa kiethiopia

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
523
Reaction score
916
Mke wangu wa kiethopia na kituruki. Mtoto yupo natural wala hatumii mkorogo mda wote sichoki kumuangalia alafu hawekagi yale madude madada wa kibongo wanaekaga usoni, mtoto full natural.

Asikwambie mtu kuwa na mtoto mzuri raha sana hata kazi zinaenda vizuri full amani kumoyo, wasichana wa kibongo wanazingua sana, siku hizi wanaume wa Tanzania tumestuka tunacheza na nyie kupigana misele kuoa nje nchi kwa wabebez wazuri wazuri wanaojitambua.
 
Eti mademu wa kibongo wanazingua? ? Kama kidemu chako kilikusumbua tuachie wa kwetu mkuu.
Kuna dada zetu wapo poa saana. I love them.
 
Nothing like Bantu Queen, cute and sexy...
[HASHTAG]#Bomboclat[/HASHTAG]
 
Eti mademu wa kibongo wanazingua? ? Kama kidemu chako kilikusumbua tuachie wa kwetu mkuu.
Kuna dada zetu wapo poa saana. I love them.
tatizo videm vya kibongo vichache sana ndo vinajitambua. na ukikapata kanachojitambua katakuzunguusha hako utafkiri kana mgodi wa dhahabu
 
Shyeeeh...!!! Kidem gani kimekaa kama baruti..!
 
Wanaume wa kibongo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…