Mke wangu mjamzito anasumbua mashariti kibao sijui atajifungua lini mtoto wa kike au kiume sijui jinsia gani mungu ndo anajua kila kitu kilichobaki kumshukuru yeye mungu baba wa mbinguni mungu wa isaya mungu wa yakobo mungu wa isaka na ismail.
ππππNaiona I'd mpya nyingine inachungulia inaitwa 'mke wangu kajifungua'
Muweke mke wake mjamzito kwenye sala/maombi aache kumsumbua ππKwahiyo labda sisi tukusaidie nini