Kuchapiwa ni siri ya ndani, cha muhimu badili simu ya mkeo mpe line mpya. Eneo la biashara pia alibadili maana kama mkeo alikuwa anauza vitafuniio jamaa wa benki alinogewa na vitafuniio hadi akataka kuonja vya ndani vimeungwaje.
Shida tuu,kama mkeo alipewa shoo ya kibabe ya malipo ya shilingi laki 8, hatomkumbuka jamaa siku ukimuudhi au kumkera kumbuka alimzungusha sana.
Pole kwa majanga pia mpe pole bi' mkubwa.
Ila itabaki kuwa: KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI.