chunguza labda ni wivu tu wa nduguzo
huwa kuna mengi, je maisha ya wewe na mkeo tangu zamani yakoje yaani wewe na yeye kivyenu
mmekuliaje
kuna mengi ukabila, ndugu zake na wako wakoje, ulishakuwa na mtu walimpenda sana ku wish umuoe wewe ukabadilisha? unaona je ana kitu kilicho zaidi na nduguzo? pia nisiweke kama kwake ni pouwa labda wanajua alikuwa na bwana kabla yako wanachukia? au unawanyima pesa siku hizi umepunguza sio kama zamani? au duh etc
sorry pia kwa ndugu wengine unakuta wivu wa mke kuja kukufanya muishi vizuri
kwa kweli labda ungetonya vipoint tungesaidia kusema kutokana na mifano niliyoiona duniani kwa watu
ila ni kazi kubwa sana, ila watachoka wao wakiona hawana sababu za kukupa za chuki zao na wewe UNAMUHESHIMU MKEO bila kuwajali tabia zao.
ila hawataacha, na chunguzu sana hiyo chuki yao, as wengine na voodoo wanaendaga kuharibu ndoa za ndugu zao.
mie ni vijipoint vyangu tu labda vitasaidia au la.