leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,440
- 1,852
Je hauchipuki?Katika kitu kinachonisumbua kwa Sasa ni huu ugonjwa wa UTI mke wangu anasumbuliwa na huu ugonjwa hauponi hapa nilipo naona unantia hasara na suruhu sipati kachoma sindano, kameza dawa kafyanyiwa urine culture lakini wapi msaada kwenye hili tatito
Huu ugonjwa ni pasua kichwa, nimemsikia mfamasia mmoja akimshauri mgonjwa kuwa aende na mwenzi wake watibiwe pamoja kwa kutumia sindano ya powersafe nikashangaa UTI kutibiwa kwa sindano maana huwa nasikia antibiotics mostlyugonjwa wa UTI mke wangu anasumbuliwa na huu ugonjwa hauponi hapa nilipo naona unantia hasara na suruhu sipati kachoma sindano, kameza dawa kafyanyiwa urine culture lakini wapi msaada kwenye hili tatito
Hiyo powercef (ceftriaxone) ni antibiotics pia.Huu ugonjwa ni pasua kichwa, nimemsikia mfamasia mmoja akimshauri mgonjwa kuwa aende na mwenzi wake watibiwe pamoja kwa kutumia sindano ya powersafe nikashangaa UTI kutibiwa kwa sindano maana huwa nasikia antibiotics mostly
Oh sawa mkuuHiyo powercef (ceftriaxone) ni antibiotics pia.
Dah ! Hakikau TANZANIA inahitaji maombiHuu ugonjwa ni pasua kichwa, nimemsikia mfamasia mmoja akimshauri mgonjwa kuwa aende na mwenzi wake watibiwe pamoja kwa kutumia sindano ya powersafe nikashangaa UTI kutibiwa kwa sindano maana huwa nasikia antibiotics mostly
Labda kamfanya kitega uchumi au ni daktari wa mchongojanga si ugonjwa JANGA ni wewe mgonjwa na huyo DAKTARI anaewatibu wote ni shida
Inahitajika ELIMU kuwaelewesha