leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,406
- 1,816
Katika kitu kinachonisumbua kwa Sasa ni huu ugonjwa wa UTI mke wangu.
Anasumbuliwa na huu ugonjwa hauponi hapa nilipo naona unantia hasara na suluhu sipati kachoma sindano, kameza dawa kafyanyiwa urine culture lakini wapi.
Msaada kwenye hili tatito