Mke wangu anasumbuliwa na maumivu ya tumbo kila tukimaliza kufanya mapenzi

jaap

JF-Expert Member
Dec 25, 2018
4,208
5,458
Naomben msaada mke wangu ana sumbuliwa na tumbo Kila baada ya kumaliza sexy kesho yake tumbo linaanza kumuuma sana je tatizo litakuwa nini?
 
Dawa ni kwenda hospitali, afanyiwe gynae scan. Kuna uwezekano aliharibu mimba bila mwenyewe kufahamu.
 
Inawezekana una mashine kubwa inapenyaa mpaka inapitilizaa muulize kama aliwahi kuexperience hii hali kabla ya kuanza kudate na wewe...!! Lakini pia siku nyingine mkisex Jaribu usimwagie ndani sometimes uterus ya mwanamke huwa inaleta response kama hiyoo kukiwa na sperm kama huwa unamwagia jaribu usimwagie muone kama atasikia maumivu. Otherwise muende Hospital.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Yeye anasema tatizo lilianza siku nyingi ila sasaiv ndo limezid na ilo tatizo alikuanalo kabla ya kuwa na mimi
 
Tukiwa tunafanya tendo asikii maumivu ila kesho yake maumivu ya tumbo Yana muanza kumsumbua
 
Yeye anasema tatizo lilianza siku nyingi ila sasaiv ndo limezid na ilo tatizo alikuanalo kabla ya kuwa na mimi
Labda ana date na watu wenye MAPAIPU makubwa yanamsogeza kizazi...Jaribu next time kuingiza hata nusu halafu leta mlejesho!
 
Back
Top Bottom