Wanawake mnaroho mbaya sana. Sasa mke wa jamaa pisi kali anatongozwa kila leo na kuja kushare na mume mbona raha.....sii u can even usse that as part of foreplay.

[emoji16][emoji16]nachokiona apa shida ni ndogo tu, jamaa kakosea kumsifia mwanamke wake over wanawake wengine unafikiri wanawake wa umu JF wanatuacha salama[emoji16]!!! Ilo ni kosa kubwa sana.