Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
- Thread starter
-
- #61
Oh mkuu nataka nikurudishe katika mstari na hata pia hili jibu unaloAisee we ndgu mbona unawapotosha vijana.
Kwenye uzi wako umesema mkeo anakwambia wanaomtongoza, OGOPA sana hiyo kitu. Hao anaokwambia ni wale anaowakataa au hawapendi na hajavutiwa nao. Wale waliomvutia hakwambii na anaweza chapwa na usijue coz ashajijengea imani kwako tayari.
Mi sipendelei saana huo mchezo wa kuniambia waliomtongoza sababu najua yeye ni mwanamke atatongozwa tu, na mwanamke anaejielewa hizo habari sio za kumwambia mwezi wake coz ni zake yeye binafai hazimhusu mpenzi wake labda tu achomekee katikati ya story.
Usimwamini sana mwanamke, ifute hiyo kauli yako ya "mwanamke anaejielewa".
Mimi mwenyewe nilikuwaga na akili kama za kwako.. mpaka Leo sitaki demu bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]Hivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwa
Labda abakwe
Kiufupi kuzini kwa mwanamke anaejielewa ni ngumu sana
Na hawa viumbe wakiingia wanaingia kijumla
Kama unajiamini nitumie namba zake inbox[emoji23][emoji23][emoji23]...Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!
Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi
Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.
Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.
Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.
CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Ila kwakeli!Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!
Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi
Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.
Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.
Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.
CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Em kwanza tuanze kwa kujua ni nini maana hasa ya kutongozwa?mwanamke kusalimiwa na mwanaume hakumaanishi ametongozwa bali itaonekana ametongozwa kama atawekwa kitako iwe ni bar,chini ya mti,w'app chat au text za kawaida,telegram kupigiwa simu on air etc sasa nashindwa kukuelewa unaposhangilia hapa!!![emoji817][emoji817] tunaendelea kuwaambia vijana wasione ndoa jehanam ndogo
Ndoa ni paradise ila umpate wa kuendana nawe
Hapa sijazungumzia demu ndugu ni mkeMimi mwenyewe nilikuwaga na akili kama za kwako.. mpaka Leo sitaki demu bikra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]
Ushaiita mwenzio zuzu ili hali nawe zuzu utagawanaje chumba na mwanamke kisa kushindwa kusolve matatizo? Be a man simama mwenyewe kwa kila kituEm kwanza tuanze kwa kujua ni nini maana hasa ya kutongozwa?mwanamke kusalimiwa na mwanaume hakumaanishi ametongozwa bali itaonekana ametongozwa kama atawekwa kitako iwe ni bar,chini ya mti,w'app chat au text za kawaida,telegram kupigiwa simu on air etc sasa nashindwa kukuelewa unaposhangilia hapa!!!
Obviously yeye ndo anaetengeneza mazingira ya kutongozwa either kwa kugawa gawa mawasiliano yake hovyo,kucheka cheka na watu wa hovyo hovyo kisha anakuja kukujaza ujinga kwamba natongozwa sana na wewe kama zuzu unajichekesha chekesha hujui anakuandaa hata siku ukimkuta mazingira siyo akwambie “na yule alikuwa ananitongoza si nishakwambiaga natongozwa sana jamanii”.be a men, kwanza mkataze kukueleza hizo habari za kijinga na mwambie atumie akili yake mimi mwanamke hawezi kuniambia ratiba zake zake za kutongozwa linaweza likanitoka jibu kesho tukagawana vyumba au akaamkia kwao.
Atampendaje mwingine wakati tayari kapenda au hujui kupenda ni mara moja tuAkitongozwa na anaye mpenda usidhani utahadithiwa..atamute na atapiga mzigo.
Siku gani na kipiWewe kuna siku utazimia
Umeolewa kweli wewe? Kama umeolewa basi mumeo ana kazi sanaWanaotuvutia huwa hatusimulii, inabaki kuwa siri.
Nashangaa wanataka sote tuone ndoa ina karaha wakati ni paradise ndogoIla kwakeli!
Chama pendwa, chenye wanachama wengi kuliko sisiem!
Chenye wanafunzi wanaosoma daily bila kifaulu mpaka wanaaga dunia!
Chenye kuweza kufukuza wanachama na kuwafuata kuwabembeleza ili warejee chamani kwa kuwapigia magoti!
Dah!
Hata km ukimpata bikra,akiwa mdadisi atataka kuonja nje kuna Utamu gani, akigundua kuwa nje ni kutamu zaidi my friend huyo anaweza kubadilika na kuwa mbaya na hatari kupita maelezo.Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!
Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi
Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.
Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.
Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.
CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Poleeeee,Kwa hiyo akiingiza mwenye kibamia utajua??.Bikra kagongwa na nani wakati ndie mfunguaji?
Pia size ya dushe langu naijua akiingia mtu nitajua tu
Huyu jamaa yetu,siku ikitokea akagundua kuwa mkewe anagongwa na Wahuni fulani ataweza kunywa sumu au kujinyonga maana amemuamini Sana mkewe.hivi inawezekana eeeh, kupima kwa kuangalia nani kaingia na nani hajaingia
hahhahahaa, na akiingia mwenye dushe dogo kuliko lako je?
usijiaminishe sana mkuu, cha msingi furahia tu maisha mengine yatajileta yenyewe
Akitongozwa na akaenda kugongwa hakuambii mkuu...Nilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Niliwahi kukaa na mzee miaka 75 katika story nilishangaa nae hamuamini mke wake anahisi anachepuka laaaaah!!!!!
Miaka zaidi ya 60 achepuke???? Anatafuta nini nje maana kama kucheza michezo yote kaimaliza. Lakini baada ya kujua huu mchezo hauna mwalimu haishangazi
Ushauri kwa vijana ambao bado hamjaingia hiki chama punguzeni papara katika kumtafuta mke.
Mpaka kumpata anayekuja kukusimulia nani kamsemesha sio rahisi na hii haimaanishi mpaka uwe fundi sana kunako game. Hata umko.....ze bado atatoka tu nje.
Kuna ndugu yangu mpaka alikuwa akilamba K. Anapigwa na fangasi za mdomoni BADO ALIACHWA.
CHEZEA MAPENZI WEWE!!!!!!!
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE
Bikira wanapatikana wapi mkuu?mi legend nataka kuoa tena baada ya ndoa yangu yangu ya kwanza kuyeyukaNilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.