Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,201
[emoji817][emoji817] tunaendelea kuwaambia vijana wasione ndoa jehanam ndogoHongera sana
Hivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwaAkizini hawezi kukuhadithia. Mm sioni umuhimu wa kukaa na kusikiliza hadithi za mkeo alivyotongozwa. Atongozwe huko akwepe mishale kisha arudi nyumbani.
Ao wajanja kaka na watu wanapiga kama kawaida ila hakwambiiHivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwa
Labda abakwe
Kiufupi kuzini kwa mwanamke anaejielewa ni ngumu sana
Na hawa viumbe wakiingia wanaingia kijumla
Kwanza mpaka akuambie jua tayari kaliwa sasa anakuteka kiakili na wewe unaanaminiNilidumu nae katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Huwa inatokea wanazini ila wasiri sana na wanatumia akili sana.Hivi anaweza kuzini kabla ya kutongozwa
Labda abakwe
Kiufupi kuzini kwa mwanamke anaejielewa ni ngumu sana
Na hawa viumbe wakiingia wanaingia kijumla
Kama umesoma mpaka mwisho nilimkuta vipiKwanza mpaka akuambie jua tayari kaliwa sasa anakuteka kiakili na wewe unaanamini
Wapo ni kweli lakini kila kitu akiwa wazi kwako ni ngumu sanaHuwa inatokea wanazini ila wasiri sana na wanatumia akili sana.
Mkuu ukiwa na makubaliano ya aina yoyote na binadamu ambaye si wewe kila jambo linalohusu kwenda kinyume na hayo makubaliano kutoka kwa huyo binadamu lipe ùwezekano ila kama hakuna dalili au halijatokea usiruhusu livuruge hayo makubaliano.Wapo ni kweli lakini kila kitu akiwa wazi kwako ni ngumu sana
Maana tayari mshakuwa marafiki
Hawa viumbe tamaa zao zipo chini sana tofauti na sisi
Labda awe anapiga kilaji huyo utamla kama kuku
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
Ulimwengu wa mapenzi hakuna mwalimu kila mtu ni mwanafunzi na ni chuo ambacho hakuna kumaliza!
Mwambie akusimulie na wanaomgonga ,wale aliowakubalia,usiwe mjinga kumwamini mkeoNilidumu naye katika uhusiano miaka nane kabla kumuoa rasmi. Tunaelekea mwaka wa kumi katika ndoa.
Nilichoweza kujifunza hasa ninapoona wengi wanalia na mapenzi ya sasa WAMEOANA PASIPOKUJUANA KIUNDANI.
SULUHISHO LA YOTE NI KUMPATA BIKRA TU
UANZE KULIMA SHAMBA MWENYEWE