Mke wangu ananishangaza sana

hahahaaaaa....pole sana
 
Ulichonichekesha, eti bado unamuita Mke wako. Huyo ni mke wa mtu...wewe unahudumia tu.
 
Ni rahisi sana kumspy kwenye whatsap.ila uwe na kifua
 
Na utakufa kwa maradhi mpk ushangae[emoji47]
 

Ukweli nikwamba hizi ndoa zinaumiza kichwa siku hizi... Sidhani kama kuna uhusiano wa yeye kua online whatsup na kuchepuka kwake.. Kama wewe umeamua kuchepuka usisingizie kutojibu sms whtsup...ungejaribu kumtumia sms kwa njia ya meseji then uangalie kama na hiyo atajibu.
Kama una wasi2 na mkeo, basi fanya uchunguzi wa kina sana...ukizingatia una onana nae mara 2kwa mwezi...Ni raahisi sana kwake kuchepuka.. Jipange..
 
Mimi ndo namaana haya mambo ya last seen nmetoa nimebaki na hii ya online. naomba warekebishe kuwe na option ya kutoonyesha online mana limekua tatzo
 
Kama wa ku chepuka ungekuwa ulifanya hvo cyo hadi utuage jf
 
Pole sana..... mpaka mke anukusahau Iazma kuna jamaa inagegeda tena kwasifa bao tatu, tano wanaume wa mikoani vepe.... mnaogopa kuongea na wake zenu ..!?
 
Jaribu kumuuliza mke wako kuhusiana na suala hilo. Zungumza naye kwa upole. Ni hatua nzuri ya kuimarisha uhusiano wenu kama utatafuta muda mzuri ukamueleza unapendelea mfanyiane nini na umfahamishe ni vitu gani huwa hupendi akufanyie. Mkumbushe madhara ya wapenzi/wanandoa kuwa na mawasiliano mabovu/hafifu. Ni vizuri ajue mambo yanayoweza kuhatarisha ndoa yenu. Lakini pia na wewe ujitahidi kuwa romantic and exciting. Ubunifu ni muhimu hata kwenye written communication. All the best mkuu
 
Da soma
Sasa umeleta mshangao wako humu huoni unapotezea muda kufikisha ujumbe kwa wasiohusika au una katabia ka umbea umbea
Na subiria mtihani huku tupo watu ambao tumeshapiga hatua kubwa ya shule soma dogo haya huku tuachie sisi
 
NIMEIPENDA HII ILA NGOJA NIGUNDUE NA MIMI NIXHEPUKE NIONE RAHA YA HAO MICHEPUKO
 
Usifumanie kama huna mpango wa kumuacha, ni kujitafutia stress na maumivu yasiyo na tija,we mpotezee fanya ishu zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…