Bin Kisafuru
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 110
- 162
Hiyo inaitwa women self defense, ukiona mwanamke anakuuliza maswali kama hayo ujue yeye kafanya so anataka na wewe uwe umefanya Ili asi-feel guilty.Kiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).
Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara ngapi?, kwanza nkashtuka maana siy kawaida, nkamjibu sijawahi kukusaliti mke wangu (ni kweli kama tupo wote). Akaniambia ulimwengu wa sasa hakuna mwanaume asiyechepuka.......tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala, (sikula mzigo siku hiyo, sikupewa na sikutaka pia)
Binafsi nahisi anataka/ashanisaliti.
Naomba ushauri wa kuyajenga na mke wangu maana nampenda sana.
Ila sijakaa nae kuongea kuhusu hiki kichangamoto.
Naomba kuwasilisha.
This is also one of the best advice, hasahasa yenye cc Kali.Mnunulie mvinyo umwanzie mbali uone atakavyoropoka, for your own risk
kuna sehemu amesema hajaimarika kiuchumiUshatombewa mkeo na watamla hadi marinda...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI...
Kweli kabisa nahisi umenielewa 100% Mkuu.Hilo swali ni la kawaida sana sikuhizi kwa wanawake kuuliza sio kwako tu.Haina maana anataka ucheat....hata uwe mwaminifu vip kwake hawezi kuamini kama hauchet....na hawa motivation, waongeaji ongeni wa mitandaoni kusema "hakuna mwanaume asiyekuwa na mwanamke mmoja " inawajenga wanawake wengi kuamini haiwezekani kwa mwanaume..
Hilo swali niliulizwa sana zamani kwa mwanamke kuniambia kwa dunia ya sasa Huwezi kutulia na mwanamke mmoja..
Kuna watu waoga, jambo dogo tu utasikia kapime ugonjwa wa zinaa na ukimwi, watu tumechakata papuchi Hadi za wameza vidonge but tupo fresh. Nina watoto wa4 wamezaliwa salama na **** nimezipiga kavu mademu wanajaa coaster mbili.Hiyo inaitwa women self defense, ukiona mwanamke anakuuliza maswali kama hayo ujue yeye kafanya so anataka na wewe uwe umefanya Ili asi-feel guilty.
Kiufupi huyo amekusaliti, usimle kavukavu, kesho andaa safari ya kwenda kupima magonjwa ya zinaa, akikuonyesha reaction yoyote take note. Then utupe mrejesho.
Kuna asilimia kubwa alikuwa anagawa papuchi bila malipo.
Haya ni Maandiko ya mtu asiyekuwa na digrii yoyote kwenye masuala ya afya. Alafu linatupiga lecture sisi alafu kibaya zaidi anataka kunipiga lecture. Absolute madness.Kuna watu waoga, jambo dogo tu utasikia kapime ugonjwa wa zinaa na ukimwi, watu tumechakata papuchi Hadi za wameza vidonge but tupo fresh. Nina watoto wa4 wamezaliwa salama na **** nimezipiga kavu mademu wanajaa coaster mbili.
Mkeo anataka ubao usume 1 -1 ..Kiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).
Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara ngapi?, kwanza nkashtuka maana siy kawaida, nkamjibu sijawahi kukusaliti mke wangu (ni kweli kama tupo wote). Akaniambia ulimwengu wa sasa hakuna mwanaume asiyechepuka.......tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala, (sikula mzigo siku hiyo, sikupewa na sikutaka pia)
Binafsi nahisi anataka/ashanisaliti.
Naomba ushauri wa kuyajenga na mke wangu maana nampenda sana.
Ila sijakaa nae kuongea kuhusu hiki kichangamoto.
Naomba kuwasilisha.