mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,028 Oct 28, 2015 #21 Hornet said: mambo mepesi sana haya! hivi wanaume mmekumbwa na kitu gani? Click to expand... Wakikujibu nistue mkuu, manake nimebaki mdomo wazi kwa mshangao
Hornet said: mambo mepesi sana haya! hivi wanaume mmekumbwa na kitu gani? Click to expand... Wakikujibu nistue mkuu, manake nimebaki mdomo wazi kwa mshangao
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,791 Oct 29, 2015 #22 Ndio maana Hua sitaki kufikiria either Kujenga au kupanga na mwanamke chumba kimoja maishani mwangu. Mwananume onesha ujasiri gangamara, Acha kuuza uanamme wako.
Ndio maana Hua sitaki kufikiria either Kujenga au kupanga na mwanamke chumba kimoja maishani mwangu. Mwananume onesha ujasiri gangamara, Acha kuuza uanamme wako.
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,791 Oct 29, 2015 #23 <font size="6">Ndio maana Hua sitaki kufikiria either Kujenga au kupanga na mwanamke chumba kimoja maishani mwangu.<br> Mwananume onesha ujasiri gangamara, Acha kuuza uanamme wako.</font><br>
<font size="6">Ndio maana Hua sitaki kufikiria either Kujenga au kupanga na mwanamke chumba kimoja maishani mwangu.<br> Mwananume onesha ujasiri gangamara, Acha kuuza uanamme wako.</font><br>
ugolo wa bibi JF-Expert Member Joined Jul 16, 2012 Posts 1,305 Reaction score 302 Oct 29, 2015 #24 Au Dada Wa Nazi jike dume
thiago 3 Member Joined Jul 27, 2015 Posts 92 Reaction score 14 Oct 29, 2015 #25 Kaoa gubegube huyo, mwambie "KUANZA UPYA SI UJINGA, UJINGA NI KUKUMBATIA MATESO YA MOYONI".
N nosimo JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 247 Reaction score 50 Oct 29, 2015 #26 Paulo Sergio De Souz said: Wana watoto wawili na wote wameajiriwa, bado wanaishi chumba kimoja, wanahitaji msaidizi wa ndani.....hii hai-add up. Click to expand... Exactly hapa mke alikuwa na sababu ya kudai chumba cha pili, alafu mshahara miwili wameshindwa kupanga nyumba nzuri yenye room 2 na sebule??
Paulo Sergio De Souz said: Wana watoto wawili na wote wameajiriwa, bado wanaishi chumba kimoja, wanahitaji msaidizi wa ndani.....hii hai-add up. Click to expand... Exactly hapa mke alikuwa na sababu ya kudai chumba cha pili, alafu mshahara miwili wameshindwa kupanga nyumba nzuri yenye room 2 na sebule??
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Oct 29, 2015 #27 Paulo Sergio De Souz said: Wana watoto wawili na wote wameajiriwa, bado wanaishi chumba kimoja, wanahitaji msaidizi wa ndani.....hii hai-add up. Click to expand... Msichana wa kazi anaongeza status mjini.... Hahahah sijaona sababu ya kuwa na msichana..... unles watoto bado ni wachanga....na je wanalala.na watoto kwenye chumba kimoja???? Itabidi Magufuli awaongezee watumishi wa umma mishahara aisee
Paulo Sergio De Souz said: Wana watoto wawili na wote wameajiriwa, bado wanaishi chumba kimoja, wanahitaji msaidizi wa ndani.....hii hai-add up. Click to expand... Msichana wa kazi anaongeza status mjini.... Hahahah sijaona sababu ya kuwa na msichana..... unles watoto bado ni wachanga....na je wanalala.na watoto kwenye chumba kimoja???? Itabidi Magufuli awaongezee watumishi wa umma mishahara aisee
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Oct 29, 2015 #28 BADILI TABIA said: Msichana wa kazi anaongeza status mjini.... Hahahah sijaona sababu ya kuwa na msichana..... unles watoto bado ni wachanga....na je wanalala.na watoto kwenye chumba kimoja???? Itabidi Magufuli awaongezee watumishi wa umma mishahara aisee Click to expand... Hahaha. Hii nimegoma kunywa, joto kali. Upo lakini mpendwa? Umeadimika.
BADILI TABIA said: Msichana wa kazi anaongeza status mjini.... Hahahah sijaona sababu ya kuwa na msichana..... unles watoto bado ni wachanga....na je wanalala.na watoto kwenye chumba kimoja???? Itabidi Magufuli awaongezee watumishi wa umma mishahara aisee Click to expand... Hahaha. Hii nimegoma kunywa, joto kali. Upo lakini mpendwa? Umeadimika.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Oct 29, 2015 #29 kweli unaishi chumba kimoja unakuwa na dada wa kazi?!!!
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Oct 29, 2015 #30 Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hii nimegoma kunywa, joto kali. Upo lakini mpendwa? Umeadimika. Click to expand... Hahaha heri ulivyogoma kunywa. Nipo mpendwa.....nilichoshwa na habari za kampeni kila mahali.....nikaamua nitulie
Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hii nimegoma kunywa, joto kali. Upo lakini mpendwa? Umeadimika. Click to expand... Hahaha heri ulivyogoma kunywa. Nipo mpendwa.....nilichoshwa na habari za kampeni kila mahali.....nikaamua nitulie
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Oct 29, 2015 #31 BADILI TABIA said: Hahaha heri ulivyogoma kunywa. Nipo mpendwa.....nilichoshwa na habari za kampeni kila mahali.....nikaamua nitulie Click to expand... Haha. Hii mambo iishe tu, watu waendelee na maisha mengine. Ni kero tu.
BADILI TABIA said: Hahaha heri ulivyogoma kunywa. Nipo mpendwa.....nilichoshwa na habari za kampeni kila mahali.....nikaamua nitulie Click to expand... Haha. Hii mambo iishe tu, watu waendelee na maisha mengine. Ni kero tu.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Oct 29, 2015 #32 Paulo Sergio De Souz said: Haha. Hii mambo iishe tu, watu waendelee na maisha mengine. Ni kero tu. Click to expand... Kero kwani kidogo.... Jf uchaguzi Insta uchaguzi Fb uchaguzi Makazini uchaguzi Majumbani uchaguzi Viber uchaguzi Whatsup uchaguzi Khaaaaaa..mm
Paulo Sergio De Souz said: Haha. Hii mambo iishe tu, watu waendelee na maisha mengine. Ni kero tu. Click to expand... Kero kwani kidogo.... Jf uchaguzi Insta uchaguzi Fb uchaguzi Makazini uchaguzi Majumbani uchaguzi Viber uchaguzi Whatsup uchaguzi Khaaaaaa..mm
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Oct 29, 2015 #33 BADILI TABIA said: Kero kwani kidogo.... Jf uchaguzi Insta uchaguzi Fb uchaguzi Makazini uchaguzi Majumbani uchaguzi Viber uchaguzi Whatsup uchaguzi Khaaaaaa..mm Click to expand... Whatsapp ndio balaa. Imebidi nimeanzisha group nikaji-add number zangu tu. Na-chat mwenyewe.
BADILI TABIA said: Kero kwani kidogo.... Jf uchaguzi Insta uchaguzi Fb uchaguzi Makazini uchaguzi Majumbani uchaguzi Viber uchaguzi Whatsup uchaguzi Khaaaaaa..mm Click to expand... Whatsapp ndio balaa. Imebidi nimeanzisha group nikaji-add number zangu tu. Na-chat mwenyewe.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Oct 29, 2015 #34 Paulo Sergio De Souz said: Whatsapp ndio balaa. Imebidi nimeanzisha group nikaji-add number zangu tu. Na-chat mwenyewe. Click to expand... Hahahaha mpendwa umetisha Nimecheka mpaka watu wamenishangaa
Paulo Sergio De Souz said: Whatsapp ndio balaa. Imebidi nimeanzisha group nikaji-add number zangu tu. Na-chat mwenyewe. Click to expand... Hahahaha mpendwa umetisha Nimecheka mpaka watu wamenishangaa