Mke wangu ameninyima haki ya ndoa

Wanawake wengi wamevunja ndoa zao kwa staili hii ya kunyima unyumba wenza wao pale wakosanapo wakijua wanamkomoa kumbe baadae inakuwa chanzo cha wanaume kusaka michepuko na baadae wanahama mazima et
Ni kweli
 
Huo Ni uzungu zaidi maaan
 
Amtongoze tena hapa anakuja anasema ni mkewe kumbe upande wa pili ni hawara yake sasa kama anamnyima sisi wadau ndiyo tumlazimishe ampe? Mambo mengine siyo ya kila kinachotokea ndani ni kuleta uzi hapa akiri za kuambiwa uchanganye na zako.
Mkuu ushauri ni kitu cha bure
Pia kauli yako imekua na ukakasi upande wangu ushauri hata wagonjwa wanapewa hata kama Ugonjwa walipata kwa uzembe wao.

Pili siyo hawara yangu ni Mke wa ndoa kwa hiyo kama ujisikii kutoa ushauri dawa ni kukaa tu kimya.
 
Nimeomba tu ushauli jamani

Kuna vitu vya kuomba ushauri lakini sio hilo unalolitaka yaani mke kakunyima papuchi usiku asubuhi unadamkia kwenye mitandao kuomba ushauri uko sawa kweli? Ukiona mke amekunyima unyumba karibu miezi miwili, mitatu na kuendelea hapo ndipo kunaweza kukawa na tatizo hapo unaweza kutafuta ushauri
 
Huo Ni uzungu zaidi maaan
Hakuna cha uzungu wala nn.

Lazma umjali mwenzio....we all have ups and downs ila muhimu ni kuonyeshana despite all the differences between the two of u, she/he is still a special someone in ur life.
 
Naona umelitendea haki jinalo.
 
Jiunge na kifurushi cha bila kikomo mtaani uone kama hatatoa mambo.chepuka fasta zimejaa unachagua tu unayotaka hiyo imeshachoka kama ni tairi hiyo ni ya kuchongea araiyo.
 
We ndo unafaa, unakunywaga soda gani vilee
 
Kk pole mie najua hayo ni mapito ambayo ndoa nyingi zinapitia usikurupuke japo yataka moyo sana na subira je mnawatoto nae hata km hamna muonyeshe upendo na hata ubwege kupindukia siku atajirudia
 
Acha kulalamika mkuu mipapuch kibao bado unalilia hiyo moja
 
Hata Biblia inasema uwe na kiasi ktk mambo yote, sasa we unataka kila siku????? Mh!!!! Hivi hamuwezi kujizuia? Kumbe mke anapokua mjamzito huwa mnachepuka sana.
Upo sahihi mkuu ni kweli. Tunachepuka mke akiwa na mimba sababu ni miezi mingi ya kusubiri labda uwe na mke wa pili. Saa nyingine tunachepuka kama siku zake zinachukua karibu wiki nzima
 
mkuu dawa yake moja tu usimuombe mzigo wala nini acha ela ya kula nenda job ludi muda mbovu ukiingia usile koga lala usimsemeshe wala nini tumia dozi iyo kwa siku 4mpaka 7 utayaona majibu
 
Ndoa zipo za kumwaga wewe unahangaika na mkeo kwani yeye ana nini cha tofauti. Wewe mburura kweli leo hii kuna mwanamke wa kumringia mume na wewe mume ukaweweseka. Wako wengi na hata ukitaka 2×3 kutwa kama dawa inawezekana. Piga chini chukua kisu zaidi yake.
 
mkuu dawa yake moja tu usimuombe mzigo wala nini acha ela ya kula nenda job ludi muda mbovu ukiingia usile koga lala usimsemeshe wala nini tumia dozi iyo kwa siku 4mpaka 7 utayaona majibu
Hiyo dozi ndiyo nishaianza mkuu asubuhi kanisalimia nimemkaushia kama Simjui.
 
Poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…