KaribuAhsante kwa mchango wako
Yani Jana usiku nimechana mistari weeeeee kajibu Mara moja tu ajaongea tena hadi Leo asubuhi na mie mizimu yangu ishapanda kanisalimia Mara mbili sijamuitikilia hapa nilipo sijapata dawa ya hili jambo.Kwanini umekumbushia?
Wanawake ni rahisi sana kubadili, inabidi ujishushe umrudishe kimahaba haswa.
Pole sana ndo mvumiliane huku ukijipooza na michepuko huko mtaani kama hali hii akiendelea nayo na kama mnaishi kwa amani tu hakuna shida!Mkuu sijagombana nae pia huyu mwanamke ninae toka kitambo nimeanza kushirikiana nae kimapenzi tangu 2003
Nimemuoa 2010