Mke wa Trump kichwa wazi Saudi Arabia

0eb2fe8c7faa1f26c78b25c8e2a44697.jpg
 
Watu wengine buana! Mambo yakina Trump wewe yanakuhusu nini!Fanya yako,kijijini hamna hata maji wanashindia mlo mmoja unatuletea porojo za kina Trump hawajavaa vulemba inakuhusu nini mkuu? Wavae alafu jioni wanakula mishikaki ya porko haina maana.
 
Jamani nimeshangazwa Na jinsi mke Wa rais Wa marekani, Donald Trump kuacha kuvaa ushungi akiwa nchi ya kiislamu Na kitovu cha dini hiyo duniani.

Angeweza kuonesha utengamano Na kuheshimu dini ya wenzake,hii imenikera sana ingawa Nina imani nyingine.
Chezea pesa
 
Back
Top Bottom