Tanwise
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 466
- 1,032
Habar wadau wa jf!
Nahisi ukakasi kusema watu hawa ni viongozi japo ulinzi na escorts wanazopewa ni dhahiri ni viongozi.
Na pesa zote za escorts na ulinzi ni kodi zetu. Je ni sahihi hawa watu kutumia pesa ya serikali !!
Na kama kuna mishahara wanapewa ni sh. Ngapi na kwa kazi gani!!!
Japo si vibaya wakipewa heshima ya kawaida kuliko kutumia pesa ya walipa kodi.
Pia hawa maraisi/ mawazir wakuu wastaafu naona wanawalinzi wanaolipwa na serikali je kunatija kwa hili. Na inasemekana wanalipwa 75% ya mishahara yao vp notion ya kubana matumizi imekaaje hapo..