Sisi Waisilamu tukisema : "fulani ni mke wangu" yaani fulani huyo nimemuoa ndio maana akawa mke wangu.
Lakini watu wengine wanasema : "mke wangu wa ndoa".
Hivyo si sahihi.
Kwani "mke" peke yake inatosha kuwa ni mke wako wa ndoa, kwa sababu hakuna mke asiyekuwa si wa ndoa.
Kama wenzetu muna mke wa ndoa na mke asiyekuwa wa ndoa basi huyo asiyekuwa wa ndoa huwa haitwi mke, tena kwa dini zote.
Liiteni jembe kwa jina lake.
Sent from my iPhone