kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
mkuu we suuza rungu tu haina shida ila ukikutwa wew na uyo mjeda anakupukuchuaWakuu nimetoka kijijni wiki ilopita Kuja hapa mjini kusaka maisha lakini nimekupambana na kasumba 1 Kuna Dada fulani hapa mtaani mke wa mwanajeshi anaomba mahusiano na mimi.
Nimewahi kupitia jkt kwa kujibu wa sheria Maramba tanga Sasa wale jamaa walivyo na roho Mbaya si atanitafuna mzima mzima..
Nimemkatalia lakini haelewi eti mmewe yupo bize Sanaa.. So anakosa wa kujivinjari nae! Wakuu isije ikawa mtego! Ila condom box 4 Maana hapa mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu acha kunipalia makaa ya moto hivyo!mkuu we suuza rungu tu haina shida ila ukikutwa wew na uyo mjeda anakupukuchua
Mkuu angalia balaa ilokila la kwenye mahusiano yako, usiogope mkuu hata mke wa rais anachukuliwa na wajanja.
si kila mwanajeshi ni mtemi bali wengine ni mabaradhuli.
atakapogundua unamchukua mke wako tuletee mrejesho tafadhali
Haha kila nikikumbuka ukatili wao hawa jamaa mh,Kila la heri MKUU ,
Haijarsh vyovyote ila mtu yoyote akitambua unatembea na mke wake n atari
Huyo n mkubwa kaka panga nae mipango upachue mzgo
Sent using Jamii Forums mobile app
We unaishi ubungo sio?Wakuu nimetoka kijijni wiki ilopita Kuja hapa mjini kusaka maisha lakini nimekupambana na kasumba 1 Kuna Dada fulani hapa mtaani mke wa mwanajeshi anaomba mahusiano na mimi.
Nimewahi kupitia jkt kwa kujibu wa sheria Maramba tanga Sasa wale jamaa walivyo na roho Mbaya si atanitafuna mzima mzima..
Nimemkatalia lakini haelewi eti mmewe yupo bize Sanaa.. So anakosa wa kujivinjari nae! Wakuu isije ikawa mtego! Ila condom box 4 Maana hapa mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa mtu ni sumu kali sana.
hahahahahWe unaishi ubungo sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
basi tugeuze uzi wew sasa umkute mjeda anakula wife ivi utamfanyaje???Hahaha mkuu acha kunipalia makaa ya moto hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nini mnawaogopa sana wanajeshi? Mnawapa ujiko wasio stahili.Wakuu nimetoka kijijni wiki ilopita Kuja hapa mjini kusaka maisha lakini nimekupambana na kasumba 1 Kuna Dada fulani hapa mtaani mke wa mwanajeshi anaomba mahusiano na mimi.