Mke wa mtu, Smart phone ya nini?

Nahisi umechapiwa
Ndo sababu umechachhawa
Hebu kwanza Katoe sh@hawa.........
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Teh teh..Unakuta mbeibe wako anaipenda na kuijali simu yake kuliko hata ww
 
" smart phone ni kwa ajili ya wanaume tu."


nimependa hapa tu, kwenye bandiko lote, wakielewa hili tudai na suruali zetu, dah nilitaka kusahau na ndevu hajulikani nani ni nani kama kambale.
 
Kabla ya hajaanza kumiliki smart phone mbona tulikua tunamgegeda mkeo kila siku kitaa
 
".....michambo kwa instagram" dmond yuko vizuri
 
kwahiyo wasio na smart phone hawachipuki
 


BASI NA KAZI ZA KUAJILIWA ASIFANYE, ASIENDE KOKOTE HATA GENGENI IKIBIDI MUONGOZANE KILA PAHALA KAMA UNATATIZWA NA YEYE KUMILIKI SMART PHONE. VINGINEVYO WAHI HOSIPITALI KWA UCHUNGUZI WA AKILI YAKO............. AU ACHA KUTUMIA INDIAN HEMP
 
Hahaha smartphone tu inakutoa roho mweeee....
Mi nimsomi medical personel.nna vingi vya kujifunza mtandaon kwa faida yangu na nnao wahudumia
Ukiona nimeshika simu utajua nachat kumbe mwenzio busy nasoma...
Acha roho mbaya mwanaumeee utakufa na kijiba cha roho...
 
Haya mambo haya kuna siku demu mmoja bush kaniuliza katika ukoo wenu wangapi wana whatsapp?nikajisemea ndo Changamoto za field hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…