Mke wa mtu, Smart phone ya nini?

Mtoa mada next topic yako iwe mme wa mtu smartphone yanini??
 
"
"..Mkuu umeongea kwa hisia.. sana bibie anayo nini?"
 
kabla ya smart fone unadhani kulikuwa hakuna michepuko? mke wako anatumia simu gani?
Nisaidie kumuuliza hapo ili nami nipate majibu.

Mdogo angu sumbai karibu sana nilikumiso
 
kama mtoa mada hana shida kwenye rltn yake atakuwa ni mbinafsi sana.
 
Hivi kwani kabla ya smartphone wake za watu walikua hawachepuki mpendwa??
 
Mtu kama huyu hata hiyo ndoa anaiona kwa jirani tu, hata maana ya ndoa haijui.
 
Nampa pole mkeo /mpenzio/ kwa kumilkiwa na zezeta km ww!!
 
Mhaa! Wala sio zezeta aliyosema yanaukweli ndaniyake mitandao kama badoo mke wamtu unatuma pch unaonyesha makalio unataka nini
 
"...Smartphones ni kwa wanaume tu..!""

Hahahaaaaa mkuu upo vizuriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…