C cangeofrey Member Joined Jun 7, 2015 Posts 15 Reaction score 0 Aug 4, 2015 #1 Habari wana Jf, Mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35. Tafadhali ayetayari ani PM
Habari wana Jf, Mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35. Tafadhali ayetayari ani PM
yahoo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 3,526 Reaction score 1,410 Aug 5, 2015 #3 Mh! Mke wa kuoa?!!!! Ngoja niwe makini zaidi na waifu wangu usije ukamuoa
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Aug 5, 2015 #4 Kirahisi hivyo?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,235 Reaction score 829,263 Aug 5, 2015 #5 cangeofrey said: habari wana jf! mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35 tafadhali ayetayari ani PM Click to expand... Tafuta mwenye mapenzi ya kweli kwako ucha Mungu ni mambo ya kiroho yasiyo na connection yoyote na mapenzi
cangeofrey said: habari wana jf! mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35 tafadhali ayetayari ani PM Click to expand... Tafuta mwenye mapenzi ya kweli kwako ucha Mungu ni mambo ya kiroho yasiyo na connection yoyote na mapenzi
loiba Ng'oroyok Member Joined Jul 31, 2015 Posts 39 Reaction score 11 Aug 5, 2015 #6 mshana jr said: Tafuta mwenye mapenzi ya kweli kwako ucha Mungu ni mambo ya kiroho yasiyo na connection yoyote na mapenzi Click to expand... Kaka mshana jr unakuwaga na points sana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Tafuta mwenye mapenzi ya kweli kwako ucha Mungu ni mambo ya kiroho yasiyo na connection yoyote na mapenzi Click to expand... Kaka mshana jr unakuwaga na points sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,235 Reaction score 829,263 Aug 5, 2015 #7 loiba Ng'oroyok said: Kaka mshana jr unakuwaga na points sana Click to expand... Asante loiba Ng'oroyok Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
loiba Ng'oroyok said: Kaka mshana jr unakuwaga na points sana Click to expand... Asante loiba Ng'oroyok
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Aug 5, 2015 #8 Utampata
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Aug 5, 2015 #9 cangeofrey said: Habari wana Jf, Mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35. Tafadhali ayetayari ani PM Click to expand... Maelezo ya sifa bado hayajatosheleza mkuu. Weka maelezo kwa kina tuingie kazini watoto wa mjini.
cangeofrey said: Habari wana Jf, Mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35. Tafadhali ayetayari ani PM Click to expand... Maelezo ya sifa bado hayajatosheleza mkuu. Weka maelezo kwa kina tuingie kazini watoto wa mjini.